Getrude Ng'humbi jana Oktoba 17,2013 ilikuwa siku yake ya pekee kwa mrembo huyu kuagana na familia yake ya Mzee Ramadhan Ng'humbi kabla ya kuenda kuambatana na Mume wake. tafrija hiyo ya kipekee iliyoenda sambamba na uzinduzi wa ukumbi mpya na wakisasa wa sherehe za aina mbalimbali ilifanyika katika ukumbi huo wa Dreamland ulipo Mbezi Beach Darajani. Kwa Mahitaji yako ya Ukumbi huo kuanzia sasa Wasiliana kwa simu 0754777444.
Biharusi
mtarajiwa Getrude Ng'humbi (kushoto) akipozi na msimamizi wake
Sapine Mburuja wakati wa tafrija maalum ya familia ya kumuaga Getrude
iliyofanyika katika ukumbi mpya wa Dreamland
ulipo Mbezi darajani jijini Dar es Salaam. Photos by: MD Digital Company- 0755 373999/0717002303.
Getrude akijiandaa kukata keki
Getrude Ng'humbi ndie alikuwa mgeni rasmi wa uzinduzi wa ukumbi huo mpya na wakisasa wa Dreamland. Pamoja nae ni wazazi wake Bi Hawa Ng'humbi na Ramadhan Ng'humbi.
Huyu ndie aliyeamaua kuambatana nae katika maisha yake.
0 comments:
Post a Comment