Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mwendesha Mashtaka
mkuu wa Mahakama ya Kimataifa(ICC) Bibi Fatou Bensouda wakati
alipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mwendesha
Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa (ICC) Bibi Fatou Bensouda(Wapili
kushoto) mara baada ya kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam
leo.Wengine katika picha kushoto ni Mwanasheria Mkuu Jaji Frederick
Werema,Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Bibi Angellah Kairuki(Wanne
kushoto) na kulia Mwendesha Mashtaka mkuu wa Serikali Bwana Feleshi
0 comments:
Post a Comment