Baada ya kumalizika kwa mbio
za Kilimanajaro Marathon 2013 mambo yalikuwa kama hivi fulu mbuzi Fulu kuku kwa
kwenda mbele watu walijumuika katika mabanda ya chakulka na vinywaji kujipatia
ridhiki.
Hakika ilikuwa ni raha, hebu
fuatana na Camera ya Father Kidevu Blog ikupe twasira chache za matukio.
Mambo yalianza
Wadau kutoka CFAO wakiwa wamepumzika.
Mgeni Rasmi katika Mbio za
Kilimanjaro Marathon 2013, Waziri wa Habari, Maendeleo ya Vijana na Michezo,
Dk. Finela Mukangara akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama
wakifuatilia jambo pamoja na Rais wa RT na DC wa Ifakara, Anthony Mtaka.
Kutoka kwa wadhamini CFAO
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Lucy Owenya n.ae alikuwepo
Wadau kutoka Vodacom hawa hapa.
Baba na Mwana wakipumzika baada ya kukimbia 5KM
Mdau wa Moshi Manka akitiririka na nyama yake mkononi, anae mtazama kwa chart ni broda wake Anord.
Vitu vinasubiriwa.
Magori hapa kama anakataa kitu kutoka kwa Suleiman Nyambui
hizo friji zilichukua kama 3 hrs nyeupeeeeeee
ReplyDelete