Watuhumiwa
watano wakiwa katika Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Sumbawanga
mkoani Rukwa wanatuhumiwa kwa kumnyofoa mkono wa mwanamke
mlemavu (Maria Chambanenge (39) (hayupo pichani) na kutokomea nao
na kumjeruhi vibaya kichwani kisha kuufukia porini kijijini
Miangalua.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment