Mkurugenzi wa kituo cha
kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo
Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Halima Mpeta, akikata keki
aliyokabidhiwa na wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa
Vodacom Tanzania kama ishara ya upendo na moyo wa kujali wakati wafanyakazi
hao walipotembelea kituoni hapo sambamba na kukabidhi michango yao ya vifaa
mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom vyenye thamani ya takribani sh
milioni 4
Baadhi
ya wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania
wakishusha magodoro wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa
mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua ,
vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh
milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu
cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam
Mmoja
wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania,
Pendo Boshe, akishusha magodoro wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao
ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo
vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na
thamani ya takribani sh milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi
katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji
la Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa idara
ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya
pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu wa kituo cha Mwandaliwa
kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, wakati wa hafla ya
kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na
Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo
vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4
Mwakilishi miongoni mwa
wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom
Tanzania, Precious Huggins , akizungumza kwa niaba ya wenzake wakati wa
hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja
na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo
vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto
wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje
kidogo ya jiji la Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment