Nafasi Ya Matangazo

January 29, 2013

 Safari ya kitalii ya kwenda katika hifadhi ya taifa ya Mikumi iliyoandaliwa na kampuni ya utalii ya Landland Africa jumamosi wiki iliyopita imekuwa ya mafanikio baada ya watalii kuona idadi kubwa ya wanyama wakiwemo simba, chui na wanyama wengine.

Mbali na kuona wanyama hao watalii walilala kwenye kambi namba moja huku wakizungukwa na idadi kubwa ya wanyama. 

Kabla ya kulala watu wote tuliuzunguka moto (camp fire) na kuanza kupiga soga ambapo kila mtalii alitoa simulizi yake, ilikuwa safi sana…kwa picha zaidi tembelea facebook page yetu www.facebook.com/lakelandafrica

Wiki hii Lakeland inakuletea safari ya siku moja kwenye mji wa kihistoria Bagamoyo; utapata historia ya mji huo, utaogelea kwenye beach safi, utakula, utakunywa, utaburudika na hutataka kuondoka!

Kwa ratiba kamili ya safari za kitalii za kila mwisho wa wiki tembelea tovuti yetuwww.lakelandafrica.com/safaris/scheduled-trips
Tel: +255 22 276 1811 | +255 784 885 901 reservations@Lakelandafrica.com
 
 
Posted by MROKI On Tuesday, January 29, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo