Nafasi Ya Matangazo

December 08, 2012

Mlinda mlango wa timu ya Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanajro Premium Lager, Juma Kaseja (kushoto) akiokoa moja ya hatari mbele ya mshambuliaji wa timu ya Zanzibar Heroes, Khamisi Mcha Khamis wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Cecafa Tusker Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela Kampala leo.
 Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, John Boko akiwatoka mabeki wa timu ya Zanzibar Heroes wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu katika michuano ya Cecafa Tusker Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela nchini Uganda
 Beki wa timu ya Zanzibar Heroes, Haroub Nadir akimzuia mshambuliaji wa trimu ya Zanzibar Heroes, John Boko wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela nchini Uganda.
Mchezaji wa timu ya Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager,Athuman Chuji akimtoka beki wa timu ya Zanzibar Heroes, Sbari Alliy Makame wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu katika michuano ya Cecafa Tusker Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela nchini Uganda
Posted by MROKI On Saturday, December 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo