
Pichani shoto ni Rais Mtsaafu wa Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume akifafanua jambo mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye mkutano huo uliohusu maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika






Shoto ni Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano),Rais Mtsaafu wa awamu ya pili wa Tanzania,Mh Ally Hassan Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume wakiwa katika picha ya pamoja jioni ya leo na Wahariri wa vyombo vya habari kutoka Tanzanania,mara baada kumalizika kwa mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .

Wahariri wa vyombo vya habari kutoka nchini Tanzania,wakiagana na Marais Wastaafu wa Tanzania,mara baada ya mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .

Pichani shoto ni Rais Mtsaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania,Mh Benjamin Mkapa akiagana na Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania mapema leo jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .

Pichani shoto ni Rais Mtsaafu wa awamu ya pili wa Tanzania,Mh Ally Hassan Mwinyi akiagana na Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema leo jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .

Pichani shoto ni Rais Mtsaafu wa Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume akiagana na Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema leo jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini

Pichani shoto ni Rais Mtsaafu Nicéphore Dieudonné Soglo wa Benin akiagana na Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema leo jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini

Baadhi ya mambo yaliyokuwa yakijadiliwa ndani ya mkutano huo mapema leo.


Balozi Charles Stith ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano),akifafanua jambo kwa wageni waalikwa. 
Baadhi ya Wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo mara baada ya kushiriki mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .

Mmoja wa wageni waalikwa akichangia jambo.



Wageni waalikwa mbalimbali wakihudhuria mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .
Source:JIACHIE BLOG.






0 comments:
Post a Comment