Warembo waliokuwa wakiwania taji la Redds Miss Kurasini 2012 wakicheza show ya ufunguzi wakati wa shindano hilo Mwishoni mwa wiki iliyopita wakiwa wamevalia viwalo vya Mdhamini wao Mkuu, NAEEMS CLASIC WAER ambaye alidhamini shindano sambamba na Redds na kampuni nyingine. Wauzaji hao wa nguo na vitu mbalimbali Naeems Clasic Waer wanapatikana Kariakoo na Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Miss Kurasini 2012 akiwa ameketi katika kiti baada ya kuvikwa taji hilo. Wengine ni washindi wa pili hadi wa 5
Tano bora ya Miss Kurasini ikiwa katika picha ya Pamoja.
1. FLAVIANA MAEDA ,2. NEEMADOREEN SYLVERY,3. LILIAN JOSEPH,4. BETTY PETER 5. ANGEL GASPER.
0 comments:
Post a Comment