Nafasi Ya Matangazo

May 23, 2012

 Blogger Mroki Mroki maarufu Father Kidevu wa Blogu hii, juzi aliwaongoza wasanii kibao washindi wa Ktuzo za Kili Music Award 2011 kuweka chata zao za kumbukumbu katika mlima Kitonga Mkaoni Iringa wakati wakirejea kutoka jijini Mbetyya katika tamasha la wakali wa Kili. Pichani ni Blogger huyo akiweka chata ya blogu yake FK BLOG katika miamba ya mlima huo.
 Msanii AT akiweka chata yake katika miamba hiyo.
 Roma Mkatoliki nae akiweka chata yake...
 Chata ya father Kidevu na Roma Mkatoliki zikiwa pamoja na Chayta ya Kili Tour
 Mpigapicha wetu alikuwa ni Barnaba ambaye nae aliweka chata yake hapo na ile ya THT.
 Picha kati ya father Kidevu, Roma na dada Ester Shayo
 Picha ya pamoja na wasanii walioweka chata Pia DJ Choka nae aliweka chata yake hapo.
Rubani Jackson akiwa katika gari lake akisubiri uwekaji kumbukumbu ukamilike.
Posted by MROKI On Wednesday, May 23, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo