Nafasi Ya Matangazo

April 09, 2012

Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC), aina ya Dash 8-300 iliyokuwa inatoka Kigoma kwenda Dar es Salaam kupitia Tabora, ikiwa imeanguka jana baada ya kuteleza kutokana na tope jingi kuwepo kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa Kigoma. Abiria 35 na wafanyakazi wanne walinusurika kwenye ajali hiyo
Wananchi wakiangalia ajali ya ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC), aina ya Dash 8-300 iliyokuwa inatoka Kigoma kwenda Dar es Salaam kupitia Tabora, ikiwa imeanguka jana baada ya kuteleza kutokana na tope jingi kuwepo kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa Kigoma. Abiria 35 na wafanyakazi wanne walinusurika kwenye ajali hiyo.
 Hali ya ndege inavyoonekana upande wa kushoto.
 Hali ilivyokuwa inaonekana ndani ya ndege baada ya ajali kutokea jana katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma.
Posted by MROKI On Monday, April 09, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo