Nafasi Ya Matangazo

April 08, 2012

 LIKE ABRAHAM usiku wa kuamkia leo aliibuka kidedea katika shindano la ‘Vaa, Imba, Cheza kama Rihanna’ ambalo lilifanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala  jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kujinyakulia Shilingi milioni 10.


Kabla ya shindano hilo kulikuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wakiwemo Bambo, Mtanga na H. Mbizo. Pichani Mshindi huyo (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Wellu Sengo (kushoto) na mshindi wa tatu Zalha Sadallah
 Mshindi wa kwanza, mrembo Like Abraham (kulia), akipokea hundi ya Shilingi milioni 10 kutoka kwa Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo.


. …Like (katikati) akiwa na majaji wa shindano hilo Salehe Ally (kulia) na Baby Madaha (kushoto).
 Mwanamuziki H. Mbizo akitoa burudani.

 Shabiki akiwasha mshumaa kumkumbuka mcheza sinema, marehemu Steven Kanumba.

 Msanii wa vichekesho, Bambo akiimba wimbo wenye asili ya Ruvuma.


Mtanga akinengua na mcheza shoo wake.
Mashabiki wakicheza muziki

...Like Abraham akiwa kapigwa butwaa ya kutoamini ushindi wake.


Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo, akiwa  na ‘Kina Rihanna’ kabla shindano kuanza.
Washiriki wakitoa burudani.



Kina Rihanna’  wakitoa shoo ya ufunguzi wakiwa na wasanii wengine jukwaani.


Majaji wa shindano (kutoka kushoto) Salehe Ally, Baby Madaha na Eric Shigongo, wakiwa kazini.


Mchekeshaji Mtanga akitoa burudani kwa mashabiki.
Posted by MROKI On Sunday, April 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo