Nafasi Ya Matangazo

April 10, 2012

Naibu mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya Hamisi Mdee kulia akiongea na ujumbe wa maafisa waandamizi wa mfuko wa NPS wa Kameruni waliotembelea ofisi za mfuko wa NHIF kujifunza namna ya kuanzisha Mfuko wa bima ya afya. Kushoto ni bw Mengang solomoni na kati ni bibi Nadege Tonzue.Ujumbe huo upo nchini kwa juma jima ili kujifunza na kuongea na wadau mbalimbali wa huduma za bima ya afya.
Posted by MROKI On Tuesday, April 10, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo