Nafasi Ya Matangazo

March 21, 2012

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Nchini, Bw. Young Hoon Kim baada ya kufungua Chuo cha Mafunzo ya Ufundi  (VETA) mkoa wa Pwani kwenye  eneo la Kongowe Machi 21, 2012,.  Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza
Waziri Mkuu  Mizengo Pinda  akitazama chombo wanachotumia wanachuo kujifunza matengenezo ya umeme wa magari wakati alipofungua chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) cha mkoa wa  Pwani kenye eneo la Kongowe , Kbaha,   Machi  21 ,2012,
Posted by MROKI On Wednesday, March 21, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo