Nafasi Ya Matangazo

March 21, 2012

 Watangazaji wa kipindi cha Mishe Mishe cha Radio 5 ya jijini Arusha wakiwa studio wakiendesha kipindi hicho leo,Kulia ni Salim Hassan Bitchuka na kushoto ni Mwanaisha Suleiman Shaibu.katikati ni Dj wa Kipindi aitwaye King Dav.
  Timu wa wafanyakazi woote wa Kituo hicho.
 Maproducer wa Radio 5 FM ,Deogratius Moita (mwenye nyekundu) na Charles Mayomi. 
 Sehemu ya studio mpya ya TV ambayo karibuni itaanza kufanya kazi
Jengo la kituo hicho kwa nje
Posted by MROKI On Wednesday, March 21, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo