Afisa Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Woolworths Tanzania, Ali Mufuruki, akizungumza jambo na Meneja Mkuu wa Woolworth Tanzania, Vupenyu Gumbo wakati wa tafrija ya kufungua duka jipya la Woolworth lililopo jengo la Baraka Mikocheni.
Utepeukikatwa kuashiria uzinduzi rasmi.
Bidhaa za ukweli zilizopo katika duka hilo jipya.
Vimwana wa ukweli nao walikuwepo kupamba uzinduzi huo.
0 comments:
Post a Comment