Nafasi Ya Matangazo

October 29, 2011

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Twiga, Hussein Mbululo akiwaonesha waandishi wa Habari Nishani ya Ulezi Bora wa Vikoba  iliyotunukiwa Benki ya Twiga kwa kuwawezesha wajasiriamali wadogo nchini. Mbululo alikuwa akiionesha wakati Benki hiyo wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kushirikisha taasisi zake zote. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Manazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Ofisa Masoko wa Twiga Bank, Adelbert Archard  akitoa akiwagawia wanafunzi vipeperushi na kuwapa maelezo juu ya Akaunti maalum ya Akiba kwa watoto , walipotembelea banda la Benki hiyo wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kushirikisha taasisi zake zote. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Manazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Twiga, Hussein Mbululo (kulia) akismsikiliza  na Naibu Waziri wa Fedha, Pereira Silima wakati alipotembelea banda la benki ya Twiga wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kushirikisha taasisi zake zote. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Manazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Laston Msongole na Wapili kulia ni Ofisa Habari wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Twiga, Hussein Mbululo  akizungumza na waandishi wa Habari juu ya huduma zitolewazo na Benki hiyo wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kushirikisha taasisi zake zote. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Manazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Saturday, October 29, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo