Nafasi Ya Matangazo

October 11, 2011

 Mvuvi akipanga samaki wake baada ya kurejea kutoka katikati ya bwawa la Mindu alipowavua.
 Mbali na samaki aina ya perege wanao patikana katika Bwawa hilo maarufu mkoani Morogoro pia Kambale hupatikana kwa wingi.
Baadhi ya wateja wakisubiri samaki kutoka kwa wavuvi kama walivyokutwa na mpigapicha wa blogu hii alipotembelea Mindu wiki iliyopita. Aidha wavuvi katika bwawa hilo wanalalamika kutokupatikana kwa samaki hasa katika kipindi hiki cha mvua ambacho maji yanaingia bwawani hapo jambo linalofanya upatikanaji kuwa mgumu na kupanda kwa bei ya samaki.
Posted by MROKI On Tuesday, October 11, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo