KATIBU MKUU UWT TAIFA AMINA MAGILLAGI AKIMTAMBULISHA KATI YA WAASISI ALIEKUWA KATIBU MKUU WA UWT DKT. MSIMU ABDULRAHMAN HASSAN (KULIA) OKTOBA 14-2011 KWA WANACHAMA WA UWT NA WAKAZI WA TARIME MKAONI MARA WALIOHUDHURIA KATIKA KILELELE CHA SHEHE HIZO.
MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA UWT NA MIAKA 50 YA UHURU MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIAGANA NA MBUNGE VITI MAALUMU MKOA MARA ROSE-MARY-KIRIGINI (KULIA) BABADA YA KUMALIZIKA KWA SHEREHE OKTOBA 13,2011 AMBAZI ZIMEFANYIKA KITAIFA TARIME MKOANI MARA.
MKE WA ALIEKUWA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MAMA FATMA KARUME AKIONYESHO TUZO YAKE BAADA KUKABIDHIWA NA MGENI RASMI MKE WA RAIS WA TANZANIA MAMA SALMA KIKWETE (HAYUPO) PICHANI OKTOBA 13,2011 KATIKA UWANJA WA MAONYESHO TARIME MKOANI MARA AMBAPO KITAIFAMAADHIMISHO YA WIKI YA UWT NA MIAKA 50 YA UHURU SAMBAMBA NA KUMKUMBUKA HAYATI BABA YA TAIFA HILI MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALIEFARIKI OKTOBA 14,1999. TUZO HIZO PIA ZIMETOLEWA KWA WAASISI MBALIMBALI WA UWT AMBAO WAMEWEZA KUITIMIKIA UWT NA KUJITOA MUHANGA KABLA YA UHURU HADI SASA AKIWEMO MAREHEMU MAMA SOPHIA KAWAWA,NA BIBI TITI MOMAMED.
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE (ALIVAA MIWANI) NA MUASISI WA UWT MAMA FATMA KARUME WAKIWAAGA WANACHAMA WA UWT BAADA YA KUMALIZIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO HAYO KITAIFA WILAYANI TARIME MKOANI MARA,0KT,13,2011.
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE(MIWANI) PAMOJA NA MUASISI WA UWT NA ALIEKUWA MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA FATMA KARUME WAKIFURAHIA CHUNGU WAKATI WALIPOTEMBELEA MAONYESHO YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA KIWANJA MJINI TARIME AMBALO MAADHIMISHO HAO YAMEFANYIKA, OKT,13,2011,PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA-MAELEZO
BAADHI YA WAKAZI WA TARIME NA WANANCHI WA MKOA WA MARA WAKIMSIKILIZI MGENI RASMI MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE(PICHANI HAYUPO) WAKATI AKIONGEA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA UWT KITAIFA NA MIAKA50 YA UHURU PAMOJA NA KUMKUMBUKA BABA WA TAIFA HAYATI MWL JULUIS KAMBARAGE NYERERE ALIEFARIKI OCTOBA 14,1999.
,KIKUNDI CHA KWAYA KUTOKA CHUO CHA UALIMU CHA TARIME MKOA MARA WAKITUMBUIZA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UWT,MIAKA 50 YA UHURU PAMOJA NA KUMKUMBUKA MUASISI WA TAIFA LETU LA TANZANIA HAYA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALIEFARIKI 0KTOBA 14,1999.-
0 comments:
Post a Comment