Nafasi Ya Matangazo

October 11, 2011

Afisa wa Bunge Ndg. Erick Maseke akimpatia maelezo kuhusu namna kamati za Bunge zinavyofanya kazi zake mwanachi aliyefika katika maonesho ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya waziri Mkuu katika viwanja vya Mnazi mmoja. Ofisi ya Bunge Bunge linashiriki pia.
Ni burudani kwa kwenda mbele katika Viwanja vya Mnazi mmoja!!
Afisa wa Bunge Ndugu Patson Sobha akiwaelezea wananchi Historia ya Siwa ya Bunge (ambayo wengi wanapenda kuliita Rungu la Bunge) katika maonesho ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Afisa Habari wa Bunge Owen Mwandumbya akiwaelezea wananchi katika maonesho hayo namna siwa inavyotumika Bungeni.
Posted by MROKI On Tuesday, October 11, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo