Nafasi Ya Matangazo

June 29, 2011

 Ofisa Habari wa Kituo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa (UN) Usia Nkhoma-Ledama akifafanua jambo juu ya shughuli mbalimbali za UN Tanzania katika banda lao lililopo katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 35 yanayoendelea jijini Dar es Salaam. UN wapo katika banda la PTA/ Karume Hall.
 Mtaalam wa Mambo ya Mawasiliano katika Ofisi za UN, nchini Hoyce Temu akitoa maelezo juu ya miradi mbalimbali ya Elimu, maji, afya inayodhaminiwa na UN vijijini katika kusaidia jamii.
 Hoyce Temu akiwaelezea wanafunzi wa Shule ya Msingi Chang'ombe juu ya shughuli za UN.
Wanafunzi wakiendelea kupata maelezo mbalimbali kutoka kwa Hoyce Temu.
Posted by MROKI On Wednesday, June 29, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo