Mnyange Sinsia Kimasha usiku wa kuamkia Juni 18 alitawazwa kuwa Malkia wa Kitongoji cha Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kupata tiketi ya kushiriki shindano la Miss Temeke baade mwwaka huu. Sinsia aliyekuwa mrefu kuliko warembo wote katika shindano hilo alikuwa na mashabiki wengi kiasi cha kuwashinda wenzake 11.
Miss Tanzania 2011 ambaye pia alikuwa Miss Chang'ombe mwaka huo Genevieve Emmanuel akiaga muda mfupi kabla ya kuvua taji hilo.
Miss Chang'ombe 2011, Sinsia Kimasha akipinga mkono wakati wa picha y pamoja na Mshindi wa pili Husna Twalibu (kushoto) na Mshindi wa tatu Joyce Maweda.
Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Papazii, Hans Poppe akipiga picha ya pamoja na warembo.
Wadau wakipiga picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011
Ulikuwa ni wakati wa maswali na majibu.
Majaji wakijadili jambo kabla ya kutoa matokeo. Kutoka kulia ni Yusuf George, Loveness Sekulu na Alice Lushiku.
Hii rangi ilitawala na washindi wakatoka hapo, ni kundi la watano bora, kutoka kulia ni Sara Paulo, Sinsia Kimasha, Husna Twalib, Joyce Maweda na Irine Jackson.
Mdau Katunda(shoto) kutoka mtoni nae alisema asikose show hii, hapa wakiwa meza kuu na mgeni rasmi.
Wapenzi wa mambo ya urembo wakifuatilia shindano hilo kwa umakini mkubwa.
Meza ya wadhamini Vodacom Tanzania nayo ilikuwa kama hivi.
Yaani Mroki hapa tu ndo ninapokupendea.
ReplyDeleteAsante kaka. Umenikuna sana.
Endelea kunikuna.