Baada ya kimya kingi hatiamaye Projectus Rwegamalila na Faraja Kihongole jana waliamua kuungana na mamilioni ya Wanandoa baada ya kufunga ndio yao takatifu katika kanisa Katoliki la Mt. Peter la jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Mwika Sinza. Pichani ni maharusi wakionesha shahada zao za ndoa.
Hawa ndio pekee walioshuhudia ndoa hiyo maana walifika katika harusi.
Projectus na Faraja wakipeana namba za siri katika mioyo yao
Muda wa picha ulifika ...
Wafanyakazi wenzake na Faraja kutoka pale Channel 10 nao walikuwepo.
Warembo waliowasindikiza wakiwa na bi harusi.
Burudani ya Kihaya kutoka kwa Revina ilikuwepo.
Keki ilikatwa na maharusi ...
Huyu ni kama Makirikiri lakini ni jamaa toka Bukoba...
Silaha za ulizni wa familia zilikabidhiwa kutoka kwa wazazi...
AMG (Channel 10) nao walitoa zawadi yao na kusema neno...Dinna Chahali alisema
Hawa ni wafanyakazi wenzake na Bwana Harusi kutoka Marekani anakofanyia shughuli zake.
Mama mzazi wa Faraja akikabidhi kamba ya kufungia Ng'ombe na Kitimoto alichotoa kama zawadi ya familia.
Picha na MD Digital Company 0717 002303/0755 373999
0 comments:
Post a Comment