Nafasi Ya Matangazo

September 17, 2009

Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika miwili sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan ututangulie Mbele za haki kama ulivyotutangulia kuja duniani Tarehe 18/09/2007 saa kumi na mbili jioni.

Nimajonzi sana kwetu hasa ukizingatia kuwa uliondoka katika tarehe ambayo kitinda mimba wako Mroki Mroki alizaliwana ni siku kumi tu baada ya kuoa.


Unakumbukwa na wengi sana maana ulikuwa ni mhimili mkuu katika familia, kipekee ni Mke wako Mary Onesmo Nathan na watoto wako James Nathan, Mrs Stella Kaluse, Lloyd Atenaka, Dossa Mroki,Freddrick (Kajiru) Mroki, Onesmo Nathan, Thomas Nathan, Daniel Nathan, Kyaze Nathan, Namche Mroki, Kille Nathan na Mroki Mroki na Wakwe zako wote.


Pia unakumbukwa sana na Wajukuu zako Kidai Kaluse, Shauri Kaluse, Mfaume Kilangi, Shauri James, Mwanaamani James, Hellena James, Nuru James, Maria Kaluse, Ludao Kaluse, Kilave Atenaka, Maria Atenaka, Victoria Dossa, Doureen Atenaka, Erick Mushi, Beatrice Mroki, Timoth Tomas, Timothy Kajiru, Maria Thomas Irine Atenaka, Anjela Chistian, Glory Mroki.


Tulikupenda sana lakini Mungu anakupenda zaidi yetu, hadi akakutwaa uwe pamoja nae milele. Jina la Bwana Lihimidiwe Amina.
Posted by MROKI On Thursday, September 17, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo