Nafasi Ya Matangazo

September 14, 2009

Mchunga Kondoo wa Kanisa la The Winners la Dar es Salaam "KIBWETERE" Denis Mlazi, aliyedaiwa kumuua mkewe Rosemary Munseri akiingia katika Mahakamya Wilaya ya Temeke leo kusomewa shitaka lake linalomkabili. Alisomewa mashitaka yake na Mrakibu wa Polisi Basil Pandisha mbele ya Hakimu Hellen Riwa nakudaiwa kutenda kosa hilo la mauaji Septemba 6 mwaka huu saa 11 alifajiri katika eneo la Yombo Vituka wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
taarifa zilinasema kuwa Mtumishi huyu alifanya yale ya Kibwetere kwa kumchoma moto kipenzi chake huyo.
Posted by MROKI On Monday, September 14, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo