
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume,(katikati) akiwa katika futari ya wananchi wa Mikoa 3 ya Unguja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar Alhaj Amani Abeid Karume,katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Alhaj Amani Abeid Karume,(wapili kushoto)akishiriki katika futari aliyowandalia wananchi wa Mikoa 3 ya Unguja katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana.
0 comments:
Post a Comment