
Bwana Wise Mcinange na Bi Marystella Wise wakiwa katika Kanisa la KKKT Usharika wa Mtoni Dar es Salaam katika misa takatifu ya kuadhimisha miaka 25 ya ndoa yao Agosti 9 2009. Ndoa hii imebarikiwa watoto 3, Issac, Moses na Frederick. Tafrija kabambe ilifanyika Msimbazi Center Marantha Hall.
0 comments:
Post a Comment