Nafasi Ya Matangazo

February 04, 2009

Mchezai wa timu ya JK Ruvu ya mkoani Pwani, Mwinyi Kazimoto akipokea mfano wa Hundi yenyethamani ya sh 600,000/= kwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Januari. Anayemkabidhi ni Meneja Udhamini na Masoko wa Vodacom ambao ndio wadhamini wa ligi kuu ya Tnzania bara , Emillian Rwejuna (kushoto) na kushuhudiwa na Mkurugenzi wa Kamati ya Ufundi ya TFF, Sanday Kayuni.
Posted by MROKI On Wednesday, February 04, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo