Wabunge Swen Schulz (kulia) ambaye ni Mkuu wa Msafara wa Kamati ya Michezo ya Bunge la Ujerumani na Katrin Kunert wakijaribu kukimbia ndani ya Uwanja Mpya wa Taifa Dar es Salaam ili kuona kama uwanja huo unafaa na unakidhi viwango vya kimataifa kwa njia za kukimbilia.. Wabunge hao wapo nchini kwa Ziara ya siku mbili kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mchezo wa riadha pamoja na kuangalia jinsi ya kusaidia mchezo huo nchini.
Posted by MROKI
On Monday, February 02, 2009
No comments
0 comments:
Post a Comment