
Polisi watapakaa kila kona ya kuingilia chuoni kuhakikisha Usalam unakuwepo na wachache walioamuakukaidi walikamtwa.

Mwanafunzi Upendo Charles wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akijaza fomu maalum ya jkurejea chuoni baada ya kutimiza masharti ya kuendelea na masomo baada ya chuo hicho kufungwa mwishoni mwa mwaka jana.

Mkurugenzi wa Mafunzo ya Uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Prof.Luoga Florencea wafafanua jambo Wanafunzi wa UDSM sehemu ya Mlimani walio mwaka wa nne na watatu wakati wa kujisajili upya tayari kwa kuendelea na masomo baada ya chuo hicho kufungwa kutokana na migomo ya wanafunzi hao.
Msome sasa msilete njaa hapo hapo chuoni. Na kama watazingua Serikali iwapige chini wote na ichukue wapya.
ReplyDeletewewe ulitoa comment hapo juu nadhani hujui uliongelealo! na sidhani kama umeshasoma chuo kikuu!!
ReplyDelete