Nafasi Ya Matangazo

January 30, 2009

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wabunge wa Viti Maalum, Martha Mlata (katikati) na Janet Masaburi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Januari 30,2009.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Januari 30,2009.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ireland nchini kabla ya mazungumzo yao, Anne Barrington, Ofisinini kwake , Bungeni mjini Dodoma Januari 30,200.


Posted by MROKI On Friday, January 30, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo