![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STz10tLRS_I/AAAAAAAABGo/qaaF37tVoY4/s400/3.JPG)
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (utawala bora),Sophia Simba,akiongea na waandishi wa Habari katika sherehe za uzinduzi wa mpango wa kutoa misaada katika vituo vinavyoishi watoto yatima na wenye shida unaofanywa na Vodacom,(kulia),Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom,Dietlof Mare,sherehe zilifanyika jana Dar es Salaam.
![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STz100DUTpI/AAAAAAAABGw/vESrjYgpsgY/s400/4.JPG)
Uzinduzi wa gari la kusambaza misaada hiyo
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STz10acA5GI/AAAAAAAABGg/c8Sttf6RliY/s400/2.JPG)
watoto yatima wakipewa msaada wa magodoro
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STz10BiZW_I/AAAAAAAABGY/_sMDmacQ7jw/s400/1.JPG)
Bosi wa Habari Vodacom Mwamvita Makamba akizungumza
0 comments:
Post a Comment