Nafasi Ya Matangazo

September 29, 2008

Mvua inyeshapo jijini Dar es Salaam huwa ni balaa, pichani ni magari yakiwa yamesongamana katika mitaa ya Samora na Azikiwe katika mzunguko wa Askari jana kufuatia mvua hiyo iliyonyesha kwa saa kadhaa jana. Foleni hii ilidumu kwa zaidi ya saa 7.
Posted by MROKI On Monday, September 29, 2008 3 comments

3 comments:

  1. SERIKALI YA TANZANIA INA BIDI IINGILIE KAT TANZANIA FAMILIA IWE NA GARI MOJA MAGARI MENGI WAACHE.

    ReplyDelete
  2. Hii inasababishwa na miundo mbinu mibovu. Udogo wa barabara, ukosefu wa mifereji na markebisho ya barabara. Vyote hivi huchangia foleni kama hizi. Hii ndio maisha bora kwa kila Mtz na utambarare wa bongo.

    ReplyDelete
  3. mbona hu update mtu wangu? nimeona leo kwenye Guardian umekabwa koo na police inakuaje mambo haya kwa muandishi wa habari? tuunde chama cha kutetea haki za waandishi wewe sio fisadi. mbona mafisadi hawakabwi koo?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo