Warembo watakaoshiriki tamasha la kuosha magari ili kuchangia mfuko wa ‘Sickle Cell Tanzania’, kutoka kushoto ni Olivia Mkanzabi, Nargis Mohamed, Jennifer John, Jokate Mwegelo na Jacqueline Ntuyabaliwe, wakitoka katika ofisi za Makao Makuu ya tigo tanzania ambao ni wadhamini wa tamasha hilo, linaliotarajiwa kufanyika kwenye viwanja vya Leaders club mwishoni mwa wiki hii.
July 04, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wataosha na VIBITO kaka Mrocky?
ReplyDeleteMi nitakuja na KIBITO changu siku hiyo na namtaka huyo mwenye BLAUZ NYEUSI ndo anioshee KIBITO changu,
tena avae kisketi hicho hicho na nitalipa Tzs.40,000/- wala sio 20,000/-. Potelea mbali.
Anaitwa nani huyo?
Mkware, huyo ni JJ mke wa Kinjekitile Ngombare Mwillu
ReplyDelete