Nafasi Ya Matangazo

August 10, 2016

 Licha ya kujengwa uwanja mzuri wa soka wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa lakini matunzo ya uwanja huo yamekua hafifu hasa eneo la nje la maegesho ambapo awali palikua na nyasi za zinazovutia na miti jamii ya minazi iliyofanya mandhari ya uwanja huo kupendeza na kuvutia lakini sasa hivi ni tofauti kwano nyasi zimekauka na hata minazi hiyo kukauka kabisa na kung'olewa.
 Licha ya kua kwenye nyasi hizi ndipo magaribyanapoegeshwa lakini bado kwa kutumia miundombinu ya maji iliyopo uwanjani hapo nyasi hizo zingeweza kustawi n kupendezesha eneo la nje.
 Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwaajili ya kujazia maji magari ya zimamoto lakini yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo.
 Maeneo ya kupandia minazi ya urembo 
 Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwaajili ya kujazia maji magari ya zimamoto lakini yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo.
Posted by MROKI On Wednesday, August 10, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo