Nafasi Ya Matangazo

September 04, 2015

Afisa Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi  jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Game) jana jioni, kushoto aliyevaa suti ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo.
Mkurugenzi  Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo kushoto akimkabidhi mmoja wa wanariadha Bendera ya Taifa tayari kwa safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), Timu hiyo iliondoka jana jioni na ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania.

Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) jana jioni  tayari kwa kuanza safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika (All African Games). (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM).
Posted by MROKI On Friday, September 04, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo