Nafasi Ya Matangazo

July 18, 2015

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na wananchi wakiitikia Dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa zanzibar Sheikh Khamis Haji baada ya kumalizika kwa Swala na Hutba katika viwanja vya Maisara Suleiman leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi na Mashekhe waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kwa madhumuni ya kupokea mkono wa Idd na kusoma Dua katika Sikukuu ya Idd el Fitri inayoadhimishwa Duniani kote
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa Mkono wa Iddi kwa wananchi mbali mbali waliofika  viwanja vya Ikulu mjini Unguja leo katika kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za Baraza la Iddi el Fitri zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama bwawani Hotel Mjini Unguja.
Baadhi ya Wake wa Viongozi na wananchi mbali mbali wakisikiliza hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo katika kusherehekea Sikukuu ya Idd elFitri katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
Posted by MROKI On Saturday, July 18, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo