Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Rais Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto), Makamu
wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) na Bw. Deng
Alor Kuol wakitia saini mkatana wa makubaliano ya kukiunganisha upya
chama cha SPLM chaSudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha
Jumatano Januari 21, 2015 usiku. Nyuma yao ni mjane wa marehemu John
Garang aliyekuwa Mwenyekiti wa SPLM Mama Rebecca Nyandeng de Mabior na Afisa wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Thobias Makoba.
Nyuma yao wakishuhudia utiaji saini huo ni Makamu wwa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilali, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Yoweri Museveni wa Uganda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akifurahia wakati Rais Salva Kiir
Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt
Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na kubadilishana nyaraka
baada ya kutia saini mkatana wa
makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini
katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Bw Deng Alor Kuol wakifurahia wakati Rais Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.
******************
0 comments:
Post a Comment