Nafasi Ya Matangazo

July 16, 2014

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) (kati) akiwa pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland (kulia) na Bw. John Bongiorno ambaye ni mdau katika sekta ya maji aliyeshiriki katika hafla hiyo


Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland  akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie,  Pennsylvania, Marekani.


Sehemu ya waalikwa waliohudhuria halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie,  Pennsylvania, Marekani
Posted by MROKI On Wednesday, July 16, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo