Nafasi Ya Matangazo

March 07, 2010

Hashim Lundenga Mwandaaji wa Miss Tanzania akimpongea Richa Adhia baada ya kuchaguliwa kuwa Miss Tanzania India jana jijini Dar es Salaam. Richa aliwahi kuwa Miss Tanzania 2007.
Richa akiwa na walimbwende wa miaka ijayo wa tanzania India.
Posted by MROKI On Sunday, March 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo