Nafasi Ya Matangazo

March 07, 2010

Wanawake wa Kampuni ya Uchapajhi magazeti ya Serikali TSN leo wametembelea kituo cha Yatima na watoto waishio katika mazingira magumu cha Chakuwama Sinza Dar es Salaam na kutoa msaada ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka duniani. Pichani ni baadhi ya wanawake hao wakiwa na watoto wawili mapacha wanaolelewa kituoni hapo na Bibi Mlezi anaeonekana.
Msaada wa madaftari ulutolewa...
Mabegi ya shule nayo yalitolewa...
Picha ya pamoja na baadhi ya watoto pia ilipigwa kwa kumbukumbu.
Maelezo kutoka kwa Katibu Mtendaji wa CHAKUWAMA Hassan Hamisi (kulia) pia yalitolewa kwa wageni.
Posted by MROKI On Sunday, March 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo