Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Aires Bonifacio Baptista Ali baada ya mazungumzo ya o kiserikali kati kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri MKuu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mgeni wake Waziri Mkuu wa Msukbiji, Aires Bonifacio Baptista Ali (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mazungumzo ya kiserikali (Official Talks) kati yao yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Aires Bonifacio Baptista Ali
Waziri Mkuu, Mizingo Pinda na Waziri Mkuu wa Msumbiji Aires Bonifacio Baptista Ali (kushoto) wakiwa katika mazungumzo ya Kiserikali.
Posted by MROKI On Saturday, March 06, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo