Father Kidevu

KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.

July 08, 2025

RAIS SAMIA AWAPA STAMICO LESENI KUBWA YA UCHIMBAJI MADINI YA NIKELI KATIKA ENEO LA NTAKA NACHINGWEA-LINDI

›
Na Mwandishi wetu, Nachingwea,Lindi Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde (Mb) amebainisha kuwa Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhur...

WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UCHIMBAJI WA MADINI YA BATI MKOANI KAGERA

›
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Wananchi wametakiwa kuchangamkia fursa za uwekezaji katika uchimbaji wa madini ya bati yanayopatikana kwa w...

REA YAJIZATITI KUFIKISHA LENGO LA TAIFA KWENYE NISHATI SAFI YA KUPIKIA

›
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy akiwasili kwenye Banda la REA katika Maonesho ya 49 ya Biashara y...
July 07, 2025

RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA NISHATI MAONESHO YA SABASABA

›
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi leo 7 Julai, 2025 ametembelea banda la Wizara ya Nishati  kweny...

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

›
  BOFYA LINK HII KUONA MATOKEO  FORM SIX RESULTS

MKURUGENZI MTENDAJI WA STAMICO AIPONGEZA TUME YA MADINI KWA KUVUKA MALENGO YA MAKUSANYO KWA MWAKA 2024/2025

›
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Dkt. Venance Mwasse, ameipongeza Tume ya Madini kwa mafanikio makubwa ya kuvuka...
July 06, 2025

TUME YA MADINI YAPONGEZWA KWA KUTOA LESENI KWA WACHIMBAJI WADOGO KWA KUZINGATIA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

›
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ameipongeza Tume ya Madini kwa hatua yake ya kutoa leseni za uchimbaji wa...
July 05, 2025

WANANCHI WAVUTIWA KUPATA ELIMU YA MADINI SABASABA

›
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na taasisi zake inaendelea kutoa elimu ya kina kuhusu shughuli za madini katika Maonesho ya 49 ya Kimataif...

TAARIFA KWA UMMA TOKA BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WA HABARI (JAB)

›

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO YA GRUMA 2025

›
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2025 ameshiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon (GRUMA 2025) zilizoanzia na kuishia kwenye en...
›
Home
View web version

TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI

  • Father Kidevu
  • MK
Powered by Blogger.