WANAWAKE INEC WASHIRIKI MAANDAMANO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wanawake kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Leo tarehe 08 Machi, 2026 wameshiriki katika maadhimisho ya siku wanawake duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika uwanja wa shule ya msingi Mbande iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment