Nafasi Ya Matangazo

September 28, 2026

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amemtaka Msajili wa Hazina kuandaa tuzo itakayotambua Taasisi au Shirika lililofanya vizuri zaidi katika kuajiri na kuwezesha mafunzo kwa vijan.
 
Makamu wa Rais ametoa wito huo, wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC). Tarehe 28 Septemba 2026.
Aidha, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ili kufanikisha nguzo tatu za Dira ya Taifa 2050 ni muhimu Taasisi na Mashirika ya Umma kuaandaa vijana ili waweze kushindana katika soko la ajira.
 
Makamu wa Rais amesema hayo, wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC). Tarehe 28 Septemba 2026.
Posted by MROKI On Monday, September 28, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo