Nafasi Ya Matangazo

September 29, 2026

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitembea katika Mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kujionea hali ya mazingira wakati akielekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ziara ya kustukiza, kukagua huduma mbalimbali hospitalini hapo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na wananchi mbalimbali wa Jiji la Arusha, wakati akitembea kuelekea katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ziara ya kustukiza.

Posted by MROKI On Tuesday, September 29, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo