Nafasi Ya Matangazo

September 21, 2016

Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa (pichani juu) kuanzia leo.
Taarifa ya Ikulu imesema imesema pamoja kutengua uteuzi wa Prof. Mlawa, Rais Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya Mfuko huo.
Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya LAPF utafanywa baadaye.
Bodi ya wadhamini ya LAPF ilizinduliwa rasmi Februari 19, 2015 na aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia na kushuhudiwa pia na aliyekuwa Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka. SOURCE: www.habarileo.co.tz
Posted by MROKI On Wednesday, September 21, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo