Jopo la wahariri wakiongozwa kwenda kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti Tawi la Moshi
Kiwanda hicho kikionekana kwa nje
Imani Lwinga Meneja Mawasiliano wa SBL nae alikuwa na kundi la kuliongoza
Wahariri wakipata maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda hicho
Wahariri wakiangalia mzunguko mzima wa uzalishaji Bia katika kiwanda hicho cha SBL mjini Moshi
Mwisho wa ziara walijipongeza kwa kile walichokiona na kujifunza.
Timu pamoja na benchi la ufundi
Kikosi cha 1 cha Jukwaa la wahariri kilichokipiga na SBL Moshi
Mchezaji ghali wa SBL Moshi Teddy Mapunda akifanya maozezi na timu yake ya SBL
Kikosi pamoja na benchi la ufundi
Kikosi cha 1 cha SBL Moshi
Wachezaji wakisalimiana kabla ya mchezo
Theophil Makunga "Kijiko" wa timu ya Jukwaa la wahariri (kulia) akijipanga kumtoka Kija Kija wa SBL. Bakari Machumu wa Jukwaa la Wahriri akitafuta mbinu ya kupenya ulinzi thabiti wa SBL
Nyota wa mchezo huo baina ya SBL na TEF Kurwa Karedia kutoka TEF akiambaa na mpira kuelekea langoni mwa SBL. Kulwa baade alichezewa rafu na kipa na kuumia goti na kutoka nje.SBL ilishinda kwa taabu 1-0.




0 comments:
Post a Comment