July 16, 2011

Wahariri wazuru SBL Moshi na kupiga soka la kirafiki na wafanyakazi

 Jopo la wahariri wakiongozwa kwenda kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti Tawi la Moshi
 Kiwanda hicho kikionekana kwa nje
 Imani Lwinga Meneja Mawasiliano wa SBL nae alikuwa na kundi la kuliongoza
 Wahariri wakipata maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda hicho
 Wahariri wakiangalia mzunguko mzima wa uzalishaji Bia katika kiwanda hicho cha SBL mjini Moshi  
Mwisho wa ziara walijipongeza kwa kile walichokiona na kujifunza.
 Timu pamoja na benchi la ufundi
 Kikosi cha 1 cha Jukwaa la wahariri kilichokipiga na SBL Moshi
 Mchezaji ghali wa SBL Moshi Teddy Mapunda akifanya maozezi na timu yake ya SBL
 Kikosi pamoja na benchi la ufundi
 Kikosi cha 1 cha SBL Moshi
 Wachezaji wakisalimiana kabla ya mchezo
Theophil Makunga "Kijiko" wa timu ya Jukwaa la wahariri (kulia) akijipanga kumtoka Kija Kija wa SBL.
 Bakari Machumu wa Jukwaa la Wahriri akitafuta mbinu ya kupenya ulinzi thabiti wa SBL
Nyota wa mchezo huo baina ya SBL na TEF Kurwa Karedia kutoka TEF akiambaa na mpira kuelekea langoni mwa SBL. Kulwa baade alichezewa rafu na kipa na kuumia goti na kutoka nje.SBL ilishinda kwa taabu 1-0.

No comments:

Post a Comment