Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa hadharaNape akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Rwandanzovwe mjini MbeyaMwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Prof Mwakyusa akizungumza. Kushoto ni NapeSitta akihutubia katika mkutano huoMwakyembe akihutubia kwenye mkutano huoNape akimkaribisha Mwenyekiti wa Mtandaano wa Chadema wa wanataaluma Prince MwaihojaNape akicharaza gita wakati wa mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya
Ole Sendeka nae alimwaga cheche
Mjumbe wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma akihutubia




0 comments:
Post a Comment